Aliyekuwa
Freemason kwa miaka 14 afunguliwa katika mkutano wa Ufufuo na Uzima
unaoendelea Moshi; alikatwa kidole akiwa mdogo kama udhihirisho wa alama
yao (devil horns)
alieleza
mwenyewe mbele ya waliokuwepo mkutanoni maelfu ya watu wa mkoa wa
Kilimanjaro na vitongoji vyake wanaohudhuria mkutano huo katika viwanja
vya mashujaa unaoongozwa na mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la
Ufufuo na Uzima lenye makao makuu yake Kawe jijini Dar es salaam.
![]() |
| Binti wa kiislamu ambaye aliwekwa ndani ya bahari kwa miaka mingi; alipokea ukombozi wake mara baada ya maombezi. Kule baharini alikuwa ameolewa na jini ambaye alimweka awe malkia wa baharini kwa miaka mingi... Mungu akamrudisha baada ya maombezi na kumpokea Yesu Kristo. |
Baadhi ya
picha jinsi maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro
wanavyohudhuria mkutano huo toka ulipoanza tarehe 20 mwezi huu,
unatarajiwa kumalizika siku ya jumapili tarehe 27.
![]() |
| Njia ni moja tu nayo ni YESU, askofu Gwajima akifundisha mkutanoni. |


![]() |
| Flora Mbasha na mumewe wapo sambamba na wana Ufufuo na uzima mkoani Kilimanjaro. |






Post a Comment