Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 iliyowasili usiku wa jana


Shangwe kutoka kwa wadau mbalimbali mara baada ya ndege kutua


Muonekano wa ndege hiyo kwa ndani.


Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro akisalimia wana-Air Tanzania waliofika kuulaki ujio huo


Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro Akishuka ndani ya ndege Hiyo


Wanafunzi wa mafunzo ya cabin crew katika chuo cha Air Tanzania nao walikuwepo uwanjani kupokea ndege hiyo

Air
Tanzania jana usiku wameleta ndege nyingine 5Y-WWA aina ya CRJ200
ikiwa ni muendelezo wa kuboresha huduma zao za anga nchini Tanzania
Post a Comment