Lionel Messi akishangilia na wachezaji wenzake wa Barcelona baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 67.
Pablo Zabaleta wa Man City akitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.
Wachezaji wa PSG wakifurahia kutinga Robo Fainali.
Patashika wakati wa mtanange huo.Kwa matokeo hayo, Man City wameondolewa kwenye michuano hiyo kwa kufungwa jumla ya mabao 4-1. Nayo timu ya PSG ya Ufaransa ilifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Bayer Leverkusen. Leverkusen wameondolewa baada ya kufungwa jumla ya mabao 6-1.
Post a Comment