WaDAU naomba mniambie faida ya kuvaa
mlegezo,kutoboa sikio,na kujichubua rangi ya ngozi kwa mwanaume.
Kiukweli hiyo hali inanikera sana ninapomuona kijana wa kiume anafanya
vitu hivi lakini inawezekana ni ushamba wangu tu labda kuna faida fulani
huwa wanapata .je unazijua faida zake au hasara zake au unamchukuliaje
kijana wa kiume anayefanya hivyo. Mimi binafsi cjui nipe maoni kupitia facebook....
<<<<<<<<<<<<<<BONYEZA HAPA UTOE MAONI>>>>>>>>>>
Post a Comment