Home
»
» Unlabelled
» MASHOGA WAZIDI KUONGEZEKA BONGO DSM....NINI HASA SABABU... AU WATEJA WAMEKUWA WENGI??
Nimepita pita huko mitaani hasa
Kinondoni, kwenye mahotel ,ma bar na kumbi za starehe, Nimeshangaa sana
kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza
kama machangudoa, nini hasa tatizo ??
embu toeni comment zenu hapa na mwono wako juu ya swala hili labda tunaweza pata wazo jipya kuhusu hawa watu!!
Post a Comment