MWIGIZAJI
mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema licha ya kuwa bado
hajaolewa lakini atakayemuoa atafaidi mapishi yake kwani ni fundi wa
kupika.
Mayasa Mrisho ‘Maya’.
Maya alifunguka hayo juzikati wakati paparazi wetu alipombananisha
juu ya uwezo wake kwenye ‘sekta’ ya mahanjumati ndipo alipofunguka kuwa
yeye ni hodari katika eneo hilo.
“Wee… mi noma katika mapishi, siwezi kuachika kwa sababu ya kushindwa kupika, atakayenioa atafaidi mahanjumati ya ukweli kabisa, chezea mimi wewe!” alijisifia Maya.
“Wee… mi noma katika mapishi, siwezi kuachika kwa sababu ya kushindwa kupika, atakayenioa atafaidi mahanjumati ya ukweli kabisa, chezea mimi wewe!” alijisifia Maya.
Post a Comment