Home
»
MAKALA
» MH SHABIBY KUSHUSHA CONTENA 50 KWA AJILI YA HATUA ZA MWISHO YA MORENA HOTEL AMBAYO IPO DODOMA,
 |
Hii ndio heteli ya
kifari yenye hadhi ya nyota Tano ambayo ipo Mkoani Dodoma, Hoteli hii
ambayo inamilikiwa na Mheshimiwa shabiby ambayo imepewa jina la Morena
kwa tafsiri yake ni kitu kizuri au kama ni mwanamke humaanisha
mzuri sana mithili
ya malaika, |
 |
| Morena hoteli ambayo ipo katikati ya mji wa Dodoma inataajia
kufanya vizuri sana kwa hapa tanzania, Ni hoteli ambayo inaweza hata
Rais wa Dunia kufikia katika hoteli hii, |
 |
Mheshimiwa
shabiby akiongea na mmiliki wa blog hii aliweza kutuhakikishi kwamba
hakuna hoteli ambayo anaweza kufananisha hoteli yeyeto kwa hapa nchni,
Pia alizidi
kutuambia kwamba ni hoteli ambayo ipo kipekee kabisa na hivi karibuni
itakuwa tayari na kwamba kwa sasa anasubiia contena 50 ambazo zipo
njiani kuja Tanzania ambazo zimebeba vifaa kwa ajili ya hatua za mwisho
kabisa ya hoteli hiyo. |
Post a Comment