0

Samuel John Sitta.
ALIYEKUWA Spika wa Bunge la tisa, ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki,Samuel John Sitta ndiye Mwenyekiti wa Kidumu wa Bunge Maalum la Katiba baada ya kushinda kwa kura 487 dhidi ya 69 za mpinzani wake, Hashim Rungwe! Mhe. Sitta ameshinda nafasi hyo hivi punde baada ya uchaguzi uliofanyika bungeni!

Post a Comment

 
Top