MTOTO
mzuri kwenye kilinge cha Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa
kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani anachoangalia ni
mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila.
“Naangalia
tu, mtu anayenipenda ananipenda kweli au anaigiza? Nikigundua
ananipenda kweli, nampenda pia. Hata aweje huyo ndiye atakayekuwa wangu
wa maisha,” alisema Irene.
Irene Paul.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni jijini Dar, Irene alisema
licha ya kuwa bado hajamuanika mpenzi wake lakini suala la dini, kabila
kwake siyo ishu ya msingi zaidi anaangalia mapenzi ya dhati.
“Naangalia
tu, mtu anayenipenda ananipenda kweli au anaigiza? Nikigundua
ananipenda kweli, nampenda pia. Hata aweje huyo ndiye atakayekuwa wangu
wa maisha,” alisema Irene.
Post a Comment