Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline
Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya
taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama
ifuatavyo: “ Wazazi wangu ni matajiri sana, kwa pesa gani nyingi
nilizonazo za uwafikia wao kiasi cha kuwapa matunzo???, bado nawategemea
hivyo wanaodai nimetelekeza wazazi ni waongo tu.” Aling’aka wolpe
Post a Comment