Watafiti wa mambo wanakwambia phd ambayo atatunukiwa diamond siku si nyingi zijazo ni ujanja ujanja wa msanii huyo. chanzo kimedai kuwa msanii huyo baada ya kusikia mwenzake wa kundi la weusi aitwaye nicki wa pili ametangaza kusomea phd
siku chache zijazo. na kuonekana kuwa atakua ndiye msanii wa kwanza kuwa DR. kwa
|
bongo. diamond
ameamua kufanya magumashi ambayo kwa bongo hakuna kinachoshindikana
ilmradi tu apewe sifa hiyo na kuweza kuweka historia bongo. chanzo
kingine kimefunguka na kudai kuwa ni ujanja wa fiamond hili kujisafisha
kwa watanzania na kumpoteza alikiba ambaye smeonekana kuwa tishio maisha
ya kimziki ya diamond |
Post a Comment