Kama ulifikiri Kenya tu ndio sikuhizi wameanza kudata kutokana na kua na video chafu za mziki basi fikiria tena kwani jamaa anyeitwa Azma ameona jinsi wabongo wasivyoyajua mapenzi na kuamua kutoa video inayowafundisha kumfikisha demu. Je , unafikiri video hii itapigwa na vituo vya Bongo ?
Post a Comment