Home
»
MASTAA
» Mama Mzazi wa Adebayo na Dada wakilia njaa baada ya Kutelekezwa
Mama ni mama hata kama ni mchawi, ila staa wa mpira wa Miguu Adebayo kwake si kosa la kusamehe amabpo hivi majuzi ameamua kumtimua mama na mdogo wake nyumbani akidai wachawi. Adebayo anadai wanamloga kiasi cha kumharibia kazi yake.
Adebayo
Post a Comment