Upande wa muziki Breezy alitaja viwango anavyotoza wasanii wanaotaka kumshirikisha kwenye nyimbo zao.
Breezy alisema kiwango anachotoza mara nyingi kwa wasanii wanaotaka kumshirikisha ni kama $250,000 ambayo ni sawa na zaidi ya Tsh milioni 426. Akaongeza kuwa kama wimbo ni hit basi ataufanya tu lakini atahitaji kupata mgao kwenye ‘publishing’.
“It depends. Some people I give a homie price to… The most I charge is like $250,000… If the song’s already a hit, then I’ll get on it. But I’m still gonna take some publishing…and if they say they can only give you $30,000, I need 50 percent of the publishing. ‘Cause I’m gonna get on the record, not to toot my own horn… I’ve gotten on records from a new artist and they’ve went No. 1. I will take a percentage of the publishing. If I’m gonna give you a No. 1, I’m gonna capitalize off it as well.”
Mnigeria Wizkid ndiye msanii wa Afrika ambaye hivi karibuni alithibitisha kufanya collabo na Breezy. Wimbo waliofanya unaitwa ‘African Bad Girl’.
Post a Comment