0
Tangazo la Coca-Cola la bidhaa yake mpya ya maziwa, imepondwa vikali kwa kutokana na kudaiwa kuwatumiwa wanawake kama chombo cha ngono.


Tangazo hilo la poster linawahusisha wanawake walio watupu waliozungukwa na nguo za maziwa.

Matangazo hayo yana maneno kama: “Drink what she’s wearing”, na “Better milk looks good on you”.




Post a Comment

 
Top