0
Huenda nyimbo anazoskiliza zaidi TID kwa sasa ni pamoja na ‘Loyal’ ya Chris Brown na ‘Sitaki Demu’ ya Juma Nature. 

TID amedai kusalitiwa na mpenzi wake na hajaona aibu kuliweka hilo wazi.

TID ameumwaga mchele huo kwenye akaunti yake ya Facebook: The last time I trusted a broke asss b***ch………..she cheated on me.”

TID akiwa na mpenziwe kabla mambo hayajavurugika

Post a Comment

 
Top