0

Mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Landon alidakwa na camera ya nyumbani kwao akiwa amepigwa bumbuwazi kubwa akiwashangaa wadogo zake mapacha waliofanana, alipokutanishwa nao kwa mara ya kwanza.

Dogo Landon akiwa na wadogo zake hao mapacha

Video hii ya Landon na wadogo zake imekuwa maarufu huko mitandaoni ikitazamwa na kupendwa na mamillion ya watu.
Icheki video yenyewe hapa

Landon  akikodoa macho kwa mshangao

Landon


Post a Comment

 
Top