0
Jamaa baada ya kula ulanzi a.k.a pombe kwa muda na kuanza kulewa, alianza kuomba kupigwa picha huku akiweka mapozi ya hatari na kutatanisha na mpenzi wake hapo club. Jamaa ni kama vile alikuwa amepandwa na mashetani hadi kufikia kutaka kumvua mpenzi wake nguo hadharani.

Post a Comment

 
Top