Habari
tulizozipata hivi punde ni kua Msanii Diamond aliyeponigeria amepata
ajali mbaya na kuvunjika miguu yake yote miwili. Habari tulizozipata
kutoka chanzo makini kinasema kua ajali hiyo ilitokea eneo la ouagadugu
katikati ya Nigeria wakati Diamond alipokua akivuka Barabara.
Hata hivyo baada ya taarifa hizo Xdeejayz jana usiku ilimtafuta Wema Sepetu kupitia simu yake ya kiganjani na ili kujua ukweli wa taarifa uvumi huo ambapo kumbe Wema mwenyewe alikuwa hajui kitu ambapo baada ya kufikishiwa tu taarifa hizo basi alianza kulia kwa sauti ya juu tena kwa uchungu kisha kukata simu yetu.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIA

Post a Comment