Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki
kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba
anatakiwa kubaki kama baba tu na si vinginevyo.
“Sitaki kumzungumzia Diamond kabisa kwa sababu nitaonekana najipendekeza kwake kwa sababu ameshasema nibaki kama baba tu, naona siyo riziki yangu,” alisema baba Diamond.
Alipoulizwa Diamond kuhusiana na maelewano hafifu na baba yake, alijibu: “no comment.”

Post a Comment