0
Wazazi wa Askofu Kilaini enzi za uhai wao.
BABA mzazi wa Askofu, Method Kilaini, mzee Paul Mutegeki Kilaini, amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 87.  Mazishi ya mzee Kilaini yatafanyika Jumatatu saa 8 mchana huko Bukoba mkoani Kagera.
Kupitia akaunti yake ya Facebook, Askofu Kilaini ametoa shukrani zake kwa wote waliompa pole kwa msiba wa baba yake, ambapo ameeleza kuwa mama na baba yake wote walikufa tarehe moja mama mzazi tarehe Aprili 3, 2010 wakati baba yake amefariki Aprili 3, 2014.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

Post a Comment

 
Top