0

MKONGWE katika sanaa, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewapa makavu wasanii wenzake ambao kila kukicha wanasifika kwa kushindana kununua magari mapya.

Mkongwe katika sanaa ya maigizo, Subrina Rupia ‘Cathy’.
 Cathy alisema yeye siku zote anaamini zaidi katika kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba na si magari kama wasanii wengi wanavyoendekeza na kudai ni ushamba.
“Wanaowekeza katika magari mi nawaona washamba, wajanja wengi tumewekeza katika nyumba ndiyo maana mimi nina nyumba yangu, naendelea kutafuta fedha nijenge zingine,” alisema Cathy.

GPL

Post a Comment

 
Top