Kuna
Habari zinazozagaa kuwa Video Mpya ya Jux ya wimbo Nitasubiri amefanya
na Jack Cliff Ambae ilisemekana yupo Jela huko Macau Chini....Habari
hizi zimekuja baada ya Jux Kupost picha ya Mrembo kwenye hiyo Video Bila
Kumuonesha Sura......Je Tutegemee Suprise ya Nguvu ama?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment