Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia…….wakati mwingine mtu unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mapaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.

Faida za kujichua/chezea:-
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanyamapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua “vipele vyako viliko”.
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.
*Kama kuna faida nyingine unaijua basi si mbaya kama utachangia hapa.
Madhara ya kujichua/chezea:-
1)Sijawahi kushuhudia wala kusikia tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.
2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea “dubwana” hizo, kifo kutokana na “shock” ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha “dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo” kuingia.
Ikiwa kuna madhara mengine unayajua kuhusiana basi ni vema ukachangia hapa
Tchaooooo
Post a Comment