Vile vituko vya rejareja kutoka kwa Lulu haviishi na wala havielekei kuisha leo au kesho !. Sasa Lulu anadaiwa kukiri kuwa ana jini mahaba ambalo linamsumbua sana katika mapenzi na ndiyo sababu ya kupendwa sana na wanaume.
Akizungumza na TZA1961 Lulu alisema "Hakuna anayeweza kukubali kufanya
ngono kama kuku, mara nyingi nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na
wanaume nisio wajua na baada ya kuuliza nikaambiwa ni jini mahaba na
hili limekuwa likinitesa na limepelekea niwe na mvuto wa kupendwa zaidi
na wanaume ambao baadhi yao huwa nashindwa kujizuia kuwapa uroda"
Post a Comment