Mwalimu wa Sekondari moja Mkoani Bukoba aliyefahamika kwa jina la Judith Mutakabwa
Na Mwandishi wa Xdeejayz Bukoba
Mtandao
huu umetumiwa picha hii ya mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo
Mkoani Kagera vijijini ambae amelalamikiwa na wazazi kufuatia wanafunzi
wa shule hiyo kushindwa kusoma vizuri kisa makalio yake makubwa ambayo
kipindi akiwa anaandika somo ubaona huku nyuma yakitikisika kwa staili
ya kipekee.
Kwa
mujibu wa mzazi huyo ambae alimvizia dada huyo akiwa kwenye nyumba za
walimu na kumpiga picha inayoonekana hapo juu alisema" Unajuwa huyu
mwalimu anafundisha kidato cha kwanza huku ifahamike wanafunzi wengi wa
umri huo ni wale wanaobarehe hivyo inawauwiya vugumu kuvumilia shughuri
aliyonayo mwalimu huyo nyuma" Alisema mzazi huyo ambae aliomba hifadhi
ya jina lake huku shule hiyo tukiihadhi jina.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA
Post a Comment