Viongozi hao walikuwa katika helkopta ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa ziara ya kukagua athari za mafuriko jijini Dar es Salaam.
Baada ya ajali, viongozi hao wamepatiwa matibabu katika majeraha waliyoyapata na wameendelea na ziara yao!
Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick,.
Post a Comment