Wauguzi
na Waganga wa Zahanati ya Bunge mjini Dodoma wakitoa msaada wa huduma
ya kwanza na kufanya maandalizi ya kumpeleka Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba Ziana Mohamed Haji katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada
ya kupata matatizo ya mshutuko.
Baadhi ya Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambapo pia ni Ndugu na Jamaa wa Mjumbe wa
Bunge hilo Ziana Mohamed Haji wakijadiliana na watendaji wa Bunge hilo
jinsi ya kumsaidia baada ya kupata matatizo ya mshutuko leo mjini
Dodoma.
Post a Comment