0


Warembo wakipewa Ushauri na Mh Mbunge Ambaye ni Mfanya biashara maarufu mjini Dodoma(Hakupenda kutajwa jina),Ambapo aliweza kutoa Mchango wa Kuwasapoti washiriki hawa Mamilion ya pesa taslimu: Warembo hao walionekana kushikwa na butwaa baada ya Mh huyu kumwaga Manoti kwa kuwachangia.Pia Mh huyo alitangaza kuwapatia zawadi nono ambayo ilikuwa ni siri yao warembo hao na kuonekana wenye furaha zaidi na kuchanganyikiwa:

Post a Comment

 
Top