Home
»
UREMBO
» MWANAMKE MWENYE KUCHA NDEFU ZAIDI DUNIANI, KAFUGA KWA ZAIDI YA MIAKA 20 BILA KUKATA..!!
Unaweza usiamini unachokiona but huu ni
ukweli halisi na video ipo hapa. Huyu ni mwanamke anayejulikana kwa jina
la Jazz Isson mwenye miaka 48 kutoka Atlanta Marekani. Amevunja rekodi kwa kuwa na
kucha ndefu zaidi duniani.
Kucha zake zinafikia urefu wa INCH 24. na aliweza kuzifuka kwa zaidi ya miaka 20 mpaka hapa zilipo
Tazama video akionyesha kucha zake na kuzungumza ni changamoto zipi anazipata katika maisha
Post a Comment