NILIMUULIZA SA KWANINI UMEIWEKA HAPO , AKASEMA ETI ANATAKA IWE YA MOTO..!! 0 UDAKU A+ A- Print Email Yani hiyo savanna hapo lazime iive, maana sio tu kuwa ya moto. Mi nilimuuliza vizuri tu akasema yabaridi sana hivyo anataka ipoe kwanza ndio ainywe. Mmmmh hatari. nikanyamaza tu halafu nikaendelea na mambo yangu..!!
Post a Comment