Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, (SACP) Deusdedit Nsimeki, (kulia) akiwa
na polisi wengine wa mjini Babati, wakati akiwaonyesha waandishi wa
habari baadhi ya misokoto 6,000 ya Bangi waliyoikamata kwenye mabasi
mawili hivi karibuni ambayo ilikuwa imewekwa kwenye mikate iliyokuwa
imesafirishwa na watu wawili,ambao wamewekwa ndani.
>>>GPL
Post a Comment