TUNDAMAN, SNURA, BONGO MUVI WAFUNIKA KANUMBA DAY 0 WASANII A+ A- Print Email Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan 'Tundaman' akiwapagawisha mashabiki katika Kanumba Day. Snura Mushi 'Mamaa Majanga' akifanya yake stejini usiku huu ndani ya Dar Live. Mshereheshaji wa shughuli ya leo, Maimartha wa Jesse akiendesha mambo ndani ya Dar Live. Mtanga akionyesha umahiri wake katika kusakata sebene. Msanii Jacob Steven 'JB' akionyesha vitu vyake stejini. Seth Bosco ambaye ni mdogo wake marehemu Kanumba akimkumbuka kaka yake kwa sebene. DJ Max akiwa kazini. Adam Kuambiana akisakata rhumba stejini. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba akizindua rasmi Kanumba Foundation usiku huu ndani ya Dar Live. Mwakifwamba akionyesha katiba ya Kanumba Foundation kwa wadau wa filamu nchini. Kulia ni mama mzazi wa Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa.
Post a Comment