Akifafanua hilo mbele ya kinasa sauti chetu, Wema alisema wivu kwake
ni kipimo kikubwa cha kutambua Diamond anamzimikia kiasi gani.
“Baby (Diamond) anavyonionea wivu mimi ndiyo ananichanganya kabisa, najisikia faraja maana angekuwa hanionei wivu ningejua wazi sipendwi,” alisema Madam.

Post a Comment