MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa yupo tayari kutenda dhambi zote lakini si ya usagaji.MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’.
Akistorisha na Bongowood hivi karibuni, Aunty Lulu alisema usagaji
umekithiri kwa mastaa wa kike Bongo na ameshuhudia baadhi yao
(hakuwataja majina) wakiwadekea wanawake wenzao ‘kimalovee’.
“Hii ni aibu kwa mastaa wa kike, mimi nilishafuatwa na wengi sana
wakinitaka nikafanye uchafu huo lakini nilikataa, dhambi za aina
nyingine nitafanya lakini siyo hii ya usagaji,” alisema Aunty Lulu.
Akistorisha na Bongowood hivi karibuni, Aunty Lulu alisema usagaji
umekithiri kwa mastaa wa kike Bongo na ameshuhudia baadhi yao
(hakuwataja majina) wakiwadekea wanawake wenzao ‘kimalovee’.
“Hii ni aibu kwa mastaa wa kike, mimi nilishafuatwa na wengi sana wakinitaka nikafanye uchafu huo lakini nilikataa, dhambi za aina nyingine nitafanya lakini siyo hii ya usagaji,” alisema Aunty Lulu.

Post a Comment