Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi.
Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za
kila kukicha ambazo wakati mwingine zimekuwa zikimshushia hadhi katika
jamii, ikiwemo skendo ya kunaswa kwenye mtego wa kujiuza ilioandliwa na
Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global.Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Baby Madaha alisema hawezi kupinga kama alizungumza hayo isipokuwa tangu atoe kauli hiyo amejikuta akizidi kupata mafanikio makubwa katika muziki.
“Naweza kusema nimeumbuka kwa kile nilichoongea, maana nimejikuta nashindwa kutekeleza nilichowaambia mashabiki wangu sababu dili zinakuja, siwezi kuziacha,” alisema Baby.
Post a Comment