Home
»
WASANII
» HUYU NDIYE MSANII ALIYEDAI KUWA NI BIKRA NA KUINGIA KWENYE SKENDO ZA KUSA**G**NA NA MWANAMKE MWENZAKE ...SASA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA
|
Iliwahi kuripotiwa hapo
awali kuwa Diana Kimario anajihusisha na maswala ya usagaji, na kabla ya
hapo aliwahi kutamka mwenyewe kuwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanamme
yeyote tangu azaliwe, vile vile Diana aliwahi kunukuliwa akisema kuwa
"Kamwe siwezi kumvulia ch*pi mwanaume aliyetembea na Lulu Michael ambaye
ni shoga yake kipenzi" Jana kupitia mtandao wa instagram Diana
aliachia picha akivalishwa pete, Haijulikani kama ndiyo kweli
amevalishwa au ni maigizo yao |
Post a Comment