Mother's Day ni siku ambayo watu wote duniani huwapongeza mama zao kwa kuwazaa na kuwalea....Mastaa kibao wa hapa bongo wameshare nasi picha za mama zao wakiwatakia heri na pongezi mama zao.... Hawa ni baadhi ya picha za kinamama wa mastaa...wamo mama Lulu, Penny, Wema, Mboni na wengine wengi......
She keeps all my secrets and I know they are safe with her...she listens to me even when she is so tired she makes the effort to hear me out, when I laugh she laughs with me, when I cry it breaks her heart she cries even more than I do, she is the only human I could call "my BESTFRIEND" and be so sure our friendship, love, and bound is for a lifetime. Mama I love u with everything I got! Aint nothing in this world I wouldn't do for u.. HAPPY MOTHERS DAY MAMA P. And all the wonderful mothers out there I say GOD BLESS U������❤️❤️❤️
UPENDO WA MAMA # UPENDO WA MAMAAAA WA HALI YA JUU # MAMA NAKUPENDA # MAMA NAKUPENDA SAAAANA # MAMA UWE KARIBU NA MIIIII ❤������ # HAPPY MOTHER'S DAY TO ALL GREAT MOM'S OUT THERE ������������
Happy Mother's Day...! Am sure hii picha nilikulazimisha....hahahahah!!! #Love you mama
Happy Mother's Day ,Bila wewe mama yangu kukata tamaa mimi ningekuwa marehemu sasa hivi,Nashukuru kwa uvumilivu wako na Upendo wako mama yangu,Nakuombea Maisha Marefu na baraka tele mama yangu,muda Mwingine huwa na kufuru Mungu nilimuomba aanze kunichukua mimi kwanza hapa Duniani maana sitaki kufikiria Maisha bila wewe maana sitaweza,Nakupenda mama yangu kipenzi kuliko chochote hapa Duniani,nimekutesa vya kutosha mama yangu ni muda wa kuenjoy sasa mama mwanao mzima wa afya na nitafanya kila niwezalo ili uishi kwa raha bila karaha mama yangu,we ndio baba na mama yangu kipenzi.Nakuombea Maisha Marefu..............you re my life mama,no one will take ur place in my heart.......
Post a Comment