Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli na kwamba huo ni utapeli.
Akizungumza Ijumaa Mei 13, mwaka huu Johari alisema hana taarifa
zozote za Ray kumvisha pete Chuchu na wala hatarajii kusikia tukio la
wawili hao kuoana limefanyika.
“Mmh…unasema Ray kamvisha pete Chuchu...! Hakuna jambo kama hilo
wewe, achana na matapeli maana hakuna ishu kama hiyo na Ray hawezi kuoa
kwa muda huu.”
“Kwani suala la kumvisha pete na kutoa mahari lilifanyikia wapi maana
kama kweli kuna mazingira hayo basi atakuwa kafanya kwa kificho sana.”
>>GPL
>>GPL
to be honest nimetokea kuipenda hii couple. keep it up guys if you both are in really like a hell.
ReplyDelete