Ikiwa ni
siku 14 tu zimesalia kwa Kanye West na Kim Kardashian kufunga ndoa, leo
hii kadi ya mwaliko wa harusi yao imedhihilika mitandaoni...Kadi
imeeleza kuwa harusi itafanyika Jumamosi, tarehe 24 mwaka huu... ambao
itafanyika mjini Paris , Ufaransa
Maelezo zaidi kuhusu harusi hii, wageni wataelezwa watakapofika...
Post a Comment