Kama uikuwa unafahamu kuwa nyimbo za diamond ndio zilikuwa kipenzi namba moja kwa Wema, basi jua sasa msanii mwingine anayempagawisha Wema kwa nyimbo zake,” Lisa Love” aliyoimba msanii Milian, ndio nyimbo inayo-hit sasa hivi kupita kiasi kwenye media mbalimbali mbali East Africa, nakufanikiwa kubadilisha mtazamo wa wengi kuhusu Bongo Fleva, Wema Sepetu ametokea ku-fall in lovena jamaa huyu kwa kupenda muziki wake unaofanya uzidi ku-make headlines kila kukicha.
Milian ametokea kushika hisia za wadada wengi sana hapa town, kutokana na kwanza style tofauti ya kuimba R&B, kwa kipaji chake hicho na uwezo wake mkubwa wa kucheza na sauti, ndio uliofanya aweze kutengeneza nyimbo matata kama hii iitwayo Lisa Love, uikilizapo wimbo huu ndio utajua kwa nini umeweza kumchanganya Wema Sepetu na kukiri kupitia account yake ya instagram kuwa ndiyo wimbo mzuri kwasasa.
Post a Comment