2
Picha tata  za aina yake za mwanadada ambaye ni SOCIALITE mweusi kutoka United States of America (USA), Ravie Roso,  zimemfanya mdada apate Followers wengi kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM...SOCIALITE huyu ambaye ana umbo matata amekuwa anapiga picha za mtindo wakuonyesha mapaja na miguu tu....style hii imewambamba wengi (hata mimi).....Jionee mwenyewe picha hizi...Then niembie kama zimekubamba au?

Post a Comment

  1. Hata mimi mapaja ninayo, kunauwezekano ana mapungufu sehemu fulani za mwili ndio maana anaonesha mapaja ambayo yako normal

    ReplyDelete
  2. mjini siku hizi kiuno mtaji

    ReplyDelete

 
Top