Wafanyakazi wa Shirika la
Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi
mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM
Kirumba.
Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa
Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya
Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza .
Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..
Mahakama ya Tanzania wakiingia uwanja wa CCM Kirumba huku wakitanguliza ujumbe mzito.
Kibanda cha Veta kilikuwa
moja ya vibanda vilivyovutia kwenye maonyesho ya Siku ya Wafanyakazi
zilizofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.
Wafanyakazi wa Hospitali ya
Bugando wakielekea kuingia kwenye matembezi ya mshikamano katika
kusheherekea siku ya Wafanyakazi kwenye Viwanja vya CCM Kirumba.
Wafanyakazi wa Halmashauri ya
Jiji Mwanza wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi
mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM
Kirumba.
Post a Comment