1

Stars wakishangilia ushindi dhidi ya Zimbabwe.
TIMU ya Taifa, Taifa Stars imeibuka kifua mbele baada ya kuilaza timu ya Taifa ya Zimbabwe 'Mighty Warriors' bao 1-0 katika mechi ya kuwania nafasi ya kucheza fainali za Mataifa ya Afrika iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar. Bao la Stars limefungwa na John Bocco 'JB' dakika ya 16 kipindi cha kwanza!

Post a Comment

 
Top