0
diamond1
Diamond Platnumz leo alikua ni mgeni katika kituo cha redio cha Clouds FM katika kipindi cha Leo Tena. Katika Mahojiano yake Diamond Platnumz alizungumzia muziki wa Taarabu ambao pia anaweza kuuimba na kuongelea kuhusu kuomba na nafasi Jahazi Morden Taarab ya kuimba kabla hajawa Diamond Platnumz….Cheki video hapa..

Post a Comment

 
Top