0
article-2664569-1EFF705100000578-448_634x490

TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kupata ushindi wa taabu wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Iran.

Bao hilo pekee la ushindi limefungwa na mshambuliaji wa FC Barcelona, Lionel Messi katika dakika ya 90 ya mchezo huo.

Kikosi cha Argentina (4-3-3): Romero; Zabaleta, F Fernandez, Garay, Rojo; Gago, Mascherano, Di Maria (Biglia 90), Aguero (Lavezzi 77), Messi, Higuain (Palacio 77)

Mfungaji wa Goli: Messi 90

Kikosi cha Iran (4-2-3-1): Alireza Haghighi, Montazeri, Hosseini, Sadeghi, Pouladi, Shojaei (Heydari 76), Teymourian, Nekounam, Hajsafi (Reza Haghighi 88), Dejagah (Jahanbakhsh 85), Ghoochannejhad.
Kadi ya njano: Nekounam,Shojaei
Idadi ya watazamaji: 57,698
Mwamuzi: M Mazic (Serbia).

Post a Comment

 
Top