Home
»
UDAKU
» BIASHARA YA NGONO YAANZA KUNOGA HUKO NCHINI BRAZILI KUFUATIA KUANZA KWA KOMBE LA DUNIA
Kufuatia kuanza kwa kombe la dunia biashara ya madada poa imeanza
kuchanganya huko nchini brazil, wasichana kutoka nchi mbali mbali
duniani na ndani ya brazili wameanza kumiminika sehemu hizo za karibu na
viwanja na kwenye mahotel ili kufanya biashara hiyo ya umalaya.
Post a Comment