0
Kupiti Akaunti ya Istagram Le_In_boy  Ambayo ulikuwa unatumika kuwachafu Baadhi ya wanafunzi wa CBE Dodoma kwa picha Chafu na Maneno ya shombo ambayo yaliwakera wanafunzi hao na kuapa kufanya Juu chini ili wamfahamu anayehusika kuwachafua..... Baada ya kimya cha muda mrefu wanafunzi hao wakiwa wanatafuta ufumbuzi wa tukio hilo kwa anayewachafua..Hatimaye za Mwizi ni Arobaini, Leo hii amefahamika Mchawi ni nani... Mtaalum wa AT aliyekuwa anafwatilia hilo swala kwa kina Ameweza kumfahamu mtu huyo na kudhibitisha kuwa mwanafunzi mwenzao wa chuo hicho wa Diploma mwaka wa pili Ambaye (Jina tunalihifadhi) kutokana na kuhofia usalama wake jinsi wanafunzi wenzake ambao wanaonekana wanahasira kumpania sana....Kupitia Mtandao huu tuliamua kumrukia hewani na kumweka kikaangoni na yeye kufunguka kuwa Hausiki chochote ila inawezeka kwamba simu yake ilitumika kwasababu aliuziwa na mtu, Kwa hiyo yeye hawezi kukataa ama kukubali.... vile vile website hii ilimurukia hewani yule aliyemuuzia cm ambaye alikuwa ni msichana ambaye naye jina tunalihifadhi... yeye pia alidai cm hiyo alimuuzia .......(akataja jina) lakini akadai kwamba yeye na hausiki ila inawezekana kwa friend zake waliokuwa wanatumia simu, Na pia aliweza kututajia Tarehe na mwezi aliyomuuzia simu na kubaini yule aliyeuziwa cm ndio inawezekana anahusika kwa %99 , Pia bado tunaendelea kufwatilia hili swala kwa kina.... Ukweli utakapobainika tutaamua kukata kiu ya wengi na kumwanika kwa Majina pamoja na Picha Zake


Post a Comment

 
Top