0

554552_617205438319230_1509608906_n
Kuna  aina ya watu wenye mapenzi ya kupitiliza kwa msanii, hasa kutokana na nyimbo yake fulani kuwa kama ndio maji vile pale wanaposikia kiu kidizaini,hii imetokea kwa Rich Mavoko, cha kushangaza zaidi si tu hapa Tanzania hadi huko West Africa, jamaa unaambiwa ana-make headlines vibaya mno na kuzidi kuchanganya mabintii hadi hii leo kwa nyimbbo yaake inayo hit ya Roho yangu.
5583127a1ac311e3995622000a1f9812_7
Kupitia account ya instagram shabiki mmoja wa mwanamuziki huyo alifunguka na kuelezea jinsi anavyochizika kwa rich mavoko “Jamani jamani jamani, mwenzenu naugua mie naumwa mie, na hii nyimbo, yaani mpaka nimewaambukiza wa ghana wa watu wamekuwa wehu, marafiki zangu wote nikipanda ndani ya gari zao itapigwa hii nyimbo mpaka tunafika. Nimewafanya mpaka wameweka mlio ya simu hii nyimbo kwa wazimu wangu. Sasa nikinuna naekewa hii nyimbo basi hasira inaisha. @richmavoko @richmavoko @richmavoko @richmavoko”

Post a Comment

 
Top