0
article-2658638-1ECD545000000578-489_634x374
  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Argentina bao la pili. 
 
LIONEL Messi ameifungia Aregentina bao katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bosnia-Herzegovina.
 Beki wa Bosnia, Sead Kolasinac alijifunga bao dakika ya tatu, na katika dakika ya 65, Messi alifunga bao la pili na la ushindi.
Bao la kusawazisha la Bosnia limefungwa na  Vedad Ibisevic katika dakika ya 85.
Precise: Messi slides the ball in off the post to give Argentina a 2-0 lead
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Orion, Perez, Higuain, Augusto Fernandez, Demichelis, Palacio, Alvarez, Lavezzi, Basanta, Andujar.
 
Kadi ya njano: Rojo.
Mfungaji wa Goli: Kolasinac (alijifunga) 3, Messi 65.
 
Kikosi cha Bosnia-Herzegovina: (4-2-3-1): Begovic 6; Mujdza 6 (Ibisevic 70, 5), Bicakcic 6, Spahic 6.5, Kolasinac 6; Besic 7, Hajrovic 6 (Visca 72, 5); Pjanic 7, Misimovic 6 (Medunjanin 74, 5), Lulic 6; Dzeko 6. Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Vranjes, Susic, Sunjic, Ibricic, Hadzic, Salihovic, Avdukic.
 
Kadi ya njano: Spahic.
Mfungaji wa Goli: Ibisevic 84.
Mwamuzi: Joel Aguilar (Slovakia).
Viwango vya wachezaji vimetolewa na MARTIN SAMUE kwenye uwanja wa
Maracana 

 History boy: Vedad Ibisevic scores Bosnia's first ever goal at a major tournament  Vedad Ibisevic  akiifungia Bosnia bao la kwanza katika mashindano.

Post a Comment

 
Top